Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

We do not want positivity, we want to win, ukisema nyie unamaanisha ni nani? Mimi naweza kuwa shabiki wa Simba kukuzidi, au mmoja wa management ya Simba, perfomance is bad, tumepoteza jambo kubwa kwa hatua ndogo ndogo za uzembe. Kipa a nakwepa mipira.

Huyu kipa udaka mipira inayomfuata tu.
Sema kipa mechi ilikuwa kubwa mno kwake
 
Aibu tupu, no improvements.... Ila si wanalipwa, wao wanaendelea, wanataka maslahi, team pale pale,

BALEKE.....

Kichekekesho, team ya hivyo bora IHEF.
Walianza kumlinganisha na predator mayele[emoji23]
 
Haijalishi,kwani wewe unafikiri kwa uzoefu wako process inatakiwa ichukue muda gani labda!!?
Kulingana na vitu vifuatavyo

Investments
Mwamedi kawekeza Simba mwaka wa 6 huu ....stili mpo pale pale

GSM mwaka wa pili huu ....now TUNAJITAFUTA fainal


Sifa nyingine ni Transformation ya uongozi .....huku Yanga hakuna 10%
 
Legeza hilo shingo!!.
Unaona ugumu gani kusema kwamba mlikuwa hamna uwezo wa kushindana na wababe kama simba, waydad, mamelodi etc
Ndo ulichobaki nacho kinakufariji

Aahaaaaaa


Tunafyeka kwanza vichaka vyenu vya CAF CC
 
Back
Top Bottom