AahhaaaaaMkuu kuishi hapa jf inabidi uwe jasusi kidg[emoji23]
Shida ni kuwa mnakele sanaKwenye mechi za kimataifa ni nchi inawakilishwa, muwe mnaacha ushabiki wa kishamba kuombea mwenzio asifike kokote, kumtakia mwenzio mafanikio na akafanikiwa haimaanishi mambo yako wewe yataharibika, tushikane mikono kwa pamoja katika kuelekea mafanikio, tukifanikiwa sote chuki zitapungua mtaani.
💪💪💪💪💪💪💪💪💪Nme apologize mkuu ...
Yes, mafanikio ni ni proces. LAKINI PROCESS HIYO MAKOLO MMEISHINDWAJamii forum imevamiwa sana now days.
Sasa hapa kuna fact gani zaidi ya kuandika nongwa zako za kipumbavu.
Kufungwa kunauma lakini binafsi naona Simba wanajitafuta bado na ipo siku tutakuja kufikia hizo level ambazo mnatulazimisha kufika 🚮.
Mafanikio ni process kijana..sawa??
Unaelewa lakini dhana nzima ya PROCESS!!Yes, mafanikio ni ni proces. LAKINI PROCESS HIYO MAKOLO MMEISHINDWA
SASA NI MUDA WA YANGA HAPO jumapili..!!! Tuje tena tuwasikie na kelel zenu za LUZA wakati hata huko mnakokuita LUZA pamoja na KUROGA kuliwashindaKabisa mkuu.....muda ni mali
Nyie raundi ya pili tu chali k**m*e ,hata huyo alokutoa hajafika huko..kuweni na adabuHakuna jicho la 3 , 4 wala la 5, mmeshindwa kufuzu mmetoka. Ndio uwezo wenu ulipoishia
AhueniWangetutesa sana kama wangepita
AaahaaaaNyie raundi ya pili tu chali k**m*e ,hata huyo alokutoa hajafika huko..kuweni na adabu
Porojo tu kama porojo zingineSASA NI MUDA WA YANGA HAPO jumapili..!!! Tuje tena tuwasikie na kelel zenu za LUZA wakati hata huko mnakokuita LUZA pamoja na KUROGA kuliwashinda