Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

Kwenye mechi za kimataifa ni nchi inawakilishwa, muwe mnaacha ushabiki wa kishamba kuombea mwenzio asifike kokote, kumtakia mwenzio mafanikio na akafanikiwa haimaanishi mambo yako wewe yataharibika, tushikane mikono kwa pamoja katika kuelekea mafanikio, tukifanikiwa sote chuki zitapungua mtaani.
Shida ni kuwa mnakele sana

Wiki iliyopita Ahmed ally aliongea redion kuwa Target yao siyo Azam confederation cup ambayo inachezwa na timu ndogo kama kina ihefu

Imagine officer mkubwa anaongea hivyo
 
Jamii forum imevamiwa sana now days.

Sasa hapa kuna fact gani zaidi ya kuandika nongwa zako za kipumbavu.

Kufungwa kunauma lakini binafsi naona Simba wanajitafuta bado na ipo siku tutakuja kufikia hizo level ambazo mnatulazimisha kufika 🚮.

Mafanikio ni process kijana..sawa??
Yes, mafanikio ni ni proces. LAKINI PROCESS HIYO MAKOLO MMEISHINDWA
 
Bado soka la bongo ni tia maji tia maji na tuna mambo mengi ya kufanya transformation sio kwa simba sio yanga wala mtibwa kiufupi soka la bongo kiujumla linahitaji mabadiliko makubwa ili tufike kule qenzetu walipo
 
Hakuna cha jicho la tatu au la kumi, Simba sc wamekufa hakuna kulemba hapa
 
Back
Top Bottom