Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Poleni wa Tanzania binafsi nimehuzunishwa pia nmefurahishwa na matokeo

Nadhani Sasa tumeona kuwa Simba mechi za ugenini hasa zile ngumu bado ni weupe sana

Baleke kagusa mipira mitatu ndani ya dk 94
Chama alikuwa ni kanoute ( rafu )

Nini kifanyike

Uongozi umuombe Prof. Nabi awapigishe tuition ya kucheza ugenini Kwa waarabu
Kipigo ni kipigo tu

NB: maza kongeza mshiko 10m goal
1682746604440.jpg
 
Jamii forum imevamiwa sana now days.

Sasa hapa kuna fact gani zaidi ya kuandika nongwa zako za kipumbavu.

Kufungwa kunauma lakini binafsi naona Simba wanajitafuta bado na ipo siku tutakuja kufikia hizo level ambazo mnatulazimisha kufika 🚮.

Mafanikio ni process kijana..sawa??
 
Wanajitafuta for about 70 years, hawatajipata na Bwana Yesu atakuwa katunyakua.
 
Wanajitaguta for about 70 years, hawatajipata na Bwama Yesu atakuwa katunyakua.
Una uhakika!!???

Nyie wenyewe mmeshawahi kufikia hiyo stage ya Simba!!....ila kwa kuwa mafanikio ni process ipo siku mtafika regardless itachukua muda gani.

Hongera Simba kwa hichi mlichokifannya,kwa mtu mwenye jicho la tatu bila shaka kuna kitu positive atakuwa amekiona kwa Simba
 
Jamii forum imevamiwa sana now days.

Sasa hapa kuna fact gani zaidi ya kuandika nongwa zako za kipumbavu.

Kufungwa kunauma lakini binafsi naona Simba wanajitafuta bado na ipo siku tutakuja kufikia hizo level ambazo mnatulazimisha kufika 🚮.

Mafanikio ni process kijana..sawa??
Wewe kinaukuuma nini kwa upumbavu wa mwenzio?
 
Una uhakika!!???

Nyie wenyewe mmeshawahi kufikia hiyo stage ya Simba!!....ila kwa kuwa mafanikio ni process ipo siku mtafika regardless itachukua muda gani.

Hongera Simba kwa hichi mlichokifannya,kwa mtu mwenye jicho la tatu bila shaka kuna kitu positive atakuwa amekiona kwa Simba
Hakuna jicho la 3 , 4 wala la 5, mmeshindwa kufuzu mmetoka. Ndio uwezo wenu ulipoishia
 
Poleni wa Tanzania binafsi nimehuzunishwa pia nmefurahishwa na matokeo

Nadhani Sasa tumeona kuwa Simba mechi za ugenini hasa zile ngumu bado ni weupe sana

Baleke kagusa mipira mitatu ndani ya dk 94
Chama alikuwa ni kanoute ( rafu )

Nini kifanyike

Uongozi umuombe Prof. Nabi awapigishe tuition ya kucheza ugenini Kwa waarabu
Kipigo ni kipigo tu

NB: maza kongeza mshiko 10m goalView attachment 2603336
Aahahaaaa

Naunga mkono hoja
 
Una uhakika!!???

Nyie wenyewe mmeshawahi kufikia hiyo stage ya Simba!!....ila kwa kuwa mafanikio ni process ipo siku mtafika regardless itachukua muda gani.

Hongera Simba kwa hichi mlichokifannya,kwa mtu mwenye jicho la tatu bila shaka kuna kitu positive atakuwa amekiona kwa Simba
Wazee wa Robo Fainali
 
We do not want positivity, we want to win, ukisema nyie unamaanisha ni nani? Mimi naweza kuwa shabiki wa Simba kukuzidi, au mmoja wa management ya Simba, perfomance is bad, tumepoteza jambo kubwa kwa hatua ndogo ndogo za uzembe. Kipa a nakwepa mipira.

Huyu kipa udaka mipira inayomfuata tu.
 
Jamii forum imevamiwa sana now days.

Sasa hapa kuna fact gani zaidi ya kuandika nongwa zako za kipumbavu.

Kufungwa kunauma lakini binafsi naona Simba wanajitafuta bado na ipo siku tutakuja kufikia hizo level ambazo mnatulazimisha kufika [emoji706].

Mafanikio ni process kijana..sawa??
Mkuu hatukatai .....lkn hizo process mmeanza lini????
 
Back
Top Bottom