Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💪💪💪💪💪💪Kufa Kiume at least mngepata hata goal Moja ugenini
AahhaaaaaWenyewe walipata la ugenini?
Alafu isifikiri huku ni federation ambapo unakutana na timu dhaifu kama rivers ambao unaweza ukawapiga nje ndani
Kuchukua kombe la CAF confederation kuna ubaya gani mkuu wakati ni mashindano ya CAF pia?If you're target is to win,why mpo federation....means mlifeli kule si ndio maana yake!!??
Mkuu nakubali majibu yakoHawakupata ....lkn ndio waliowatoa pale mjini CAF
😁Aahhaaaaa
Muombe kesho tufungwe aisee
Ni ya CAF piaKuchukua kombe la CAF confederation kuna ubaya gani mkuu wakati ni mashindano ya CAF pia?
Dogo alikuwa anaruka kabla hata mpigaji hajapiga shuti😁😁Sema kipa mechi ilikuwa kubwa mno kwake
Mkuu Labani og njoo hukuUnazingua baleke aligusa mpira mara mbili tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye mechi za kimataifa ni nchi inawakilishwa, muwe mnaacha ushabiki wa kishamba kuombea mwenzio asifike kokote, kumtakia mwenzio mafanikio na akafanikiwa haimaanishi mambo yako wewe yataharibika, tushikane mikono kwa pamoja katika kuelekea mafanikio, tukifanikiwa sote chuki zitapungua mtaani.
Game ilikuwa ngumu sana mkuu.Nlicheki mkuu ....baleke hajapiga on target hata moja
..kitu pekee ambacho ntawapa credit ni kuwa ....mlijitahidi kuendana na speed ya game