Nikopeshe basi 😀😀😀Umemaliza makundi yote 😹
Jirani hakopeshwi😹😹Nikopeshe basi 😀😀😀
🙆🏻♂️🙆🏻♂️🙆🏻♂️ au uwe mdhamini wangu basi 🤣 nataka mkopo wa dola 3000 sehemuJirani hakopeshwi😹😹
Good byeFikiria maumivu ya kurejesha kiwango kikubwa cha fedha kiasi hiki kwa sababu tu ya kumhurumia mzazi wakoView attachment 3698906
Hapana kuna circle nyingi wanawake tunawakopesha,wanatukopesha ,tunalipana kama kawaida ila tu usichanganye mapenzi na kaziMwanamke yeyote, uwe na undugu nae au laa hakopeshwi.
Nimejifunza aisee ,kuna sehemu kibao wanakopesha kwa riba ,waende huko wakachukue.Chunguza vizuri sana..
Watu wengi sana wanalia fedha zao kudhulumika baada ya kuwaamini watu hawa na kuwakopesha wakiwaamini kwamba baada ya muda fedha zao zitarejeshwa...
Hawa watu hawana Aibu wala utu kwenye suala la fedha!
Wa kwanza ni mzazi wako
View attachment 3698905
Ushauri wangu
Njia pekeeya kumkopesha mtu mmojawapo aliyeko kwenye list hii, mpe kiasi kidogo ambacho unajua kisiporudi hautaumia.
Zingatia kabisa mikopo huua urafiki, undugu na ujamaa