Kimbieni ndoa Kwa wasi na ndoa tunakoelekea !!

Kimbieni ndoa Kwa wasi na ndoa tunakoelekea !!

Nimefurahi kuwaona wanaume wengi wamemsikiliza huyo msimbe akidadavua sheria na ukweli ndivyo zilivyo hivo hajakosea, lakini sasaa akili vichwani mwenuu tokeni hapo mwende kutafuta wanawake eti ailavu yu ailavu yu njoo tufunge ndoa au njoo tuishi wote, itakula kwakoo.

Vijiwe si mnavijua vya kwenda kupozea upwiruu? nendeni huko chuja wazungu wako kuwa mwepesi rudi zako home piga mbonji saafi!!
 
Back
Top Bottom