Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Bado munaamini kwenye siasa za mafuriko? Muulizeni Slaa na Lowassa. Ccm itashinda asubuhi tu.
kwani 2015 ccm ilishinda ?Bado munaamini kwenye siasa za mafuriko? Muulizeni Slaa na Lowassa. Ccm itashinda asubuhi tu.
Ngoja tuone mkuu. Wote tuwe wapole kwenye kisanduku cha kupigia kura. Mutampigia kura mgombea wenu, na sisi wananchi tutampigia kura rais wetu. Nasisitiza kwenye matokeo tuwe wapole.Labda kwa figisu, siyo kwa haki bin haki!
Huyu jamaa ana kipaji na uwezo mkubwa wa kujieleza, achana na yule mwingine aliyepewa mahari ya jogoo kwa kumuozesha mama yake.
Vp na nyie bado mnaamini siasa za kutumia wasanii kwenye kampeniBado munaamini kwenye siasa za mafuriko? Muulizeni Slaa na Lowassa. Ccm itashinda asubuhi tu.
Ngoja tuone mkuu. Wote tuwe wapole kwenye kisanduku cha kupigia kura. Mutampigia kura mgombea wenu, na sisi wananchi tutampigia kura rais wetu. Nasisitiza kwenye matokeo tuwe wapole.
Hopeless comment ever!!Hii ni laana. Jitu linakula mahari ya mama yake aliye kitandani amepooza halafu bila aibu linatangaza hadharani. Busara za wapi hizi? Tulikosea Sana miaka 5 iliyopita. Miaka 5 ijayo haturudii kosa. URAIS bila hekima Ni dhihaka.
Kidume hicho, Ni Tundu lissu peeke nchii anaweza kumsema magufuli, ndo atamtoa ikulu octo 28Leo Mgombea uraisi wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya kufanikiwa kupata zaidi ya wadhamini 6000 huko Same, Leo alipita Muheza mkoani Tanga.
Kama kawaida akaendelea kugawa dozi ya elimu ya mambo ya uraia kwa wananchi wa Tanga.
Huku wakimsikiliza kwa makini, na kwa kuyatafakari maneno yake, Mheshimiwa Lissu ameelezea uhusiano wake na mkoa wa Tanga ambapo anasema ndiko alipopatia elimu yake ya kidato cha tano na sita mwaka 1987 hadi 1989 katika shule ya sekondari ya Galanos.
Unaweza kumsikiliza hapa akiwaeleza wananchi juu ya magumu ambayo nchi hii imepitia chini ya utawala uliofeli kila idara wa CCM