Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Watakuwa wanasema uongo au kuna Ukanda wa Afrika ya Mashariki mwingine na sio huu kwani miaka ya hivi karibuni kilipiga Msumbiji na kuleta maafa makubwaTumeambiwa kimbunga hiki hakijatokea eneo la ukanda wa Afica mashariki
Wazungu na ajenda zao.Nasikia kitaisha nguvu kabla hakijatufikia
View attachment 1762218
ghafla bin vuu mawingu yameshajaa anga la DSM! usibeze we mnyakyusaJua kali kabisa hapa dsm,hakuna dalili yoyote labda kama hakijaanza safari ya kuja huku........ngoja tuwasubirie hawa wenye vina saba na Sheikh Yahya watasemaje.......
Walimaanisha TanzaniaWatakuwa wanasema uongo au kuna Ukanda wa Afrika ya Mashariki mwingine na sio huu kwani miaka ya hivi karibuni kilipiga Msumbiji na kuleta maafa makubwa
Nashangaa mkuu napita maeneo ya Tabata muda huu naona wingu zito.......itakuwa ndiyo kinaanza safari 🤣🤣ghafla bin vuu mawingu yameshajaa anga la DSM! usibeze we mnyakyusa
Kilitokea enzi zile Nchi hii ilipokuwa kujulikana kama TanganyikaWalimaanisha Tanzania
Wao ndio wachafuzi wakubwa wa hali ya hewa,hivi zile fedha za Carbon nani alizipiga?Jobo atakua ametumwa na Mabeberu
Kwa kinyaki kinaitwa kafulafumbi!Nashangaa mkuu napita maeneo ya Tabata muda huu naona wingu zito.......itakuwa ndiyo kinaanza safari 🤣🤣