Kimbunga JOBO: Uzi maalum kupeana Updates za kimbunga hiki

Kimbunga JOBO: Uzi maalum kupeana Updates za kimbunga hiki

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,436
Reaction score
7,955
Tumeambiwa kimbunga hiki hakijatokea eneo la ukanda wa Afica mashariki kwa takribani miaka 70.

Hapa ni sehemu maalum kuhabarishana yanayojiri hasa mliopo fukwe huko.

Tukumbushane pia tahadhari za kuchukua maana siku yenyewe ni leo na kesho tu kwa mujibu wa mamlaka za hali ya hewa.
 
Blaza wachukue tahadhari tu, wasijeona kinakuja wakakimbilia kukipiga picha.
 
Jua kali kabisa hapa dsm,hakuna dalili yoyote labda kama hakijaanza safari ya kuja huku........ngoja tuwasubirie hawa wenye vina saba na Sheikh Yahya watasemaje.......
 
Nasikia kitaisha nguvu kabla hakijatufikia
08AA9305-093C-4781-ACF7-B9B34988897B.jpeg
 
Hamna kitu kwa speed hata ukiwa na pikpiki hakikipati
 
Back
Top Bottom