Kimbunga Kikali cha Freddy kinaelekea Afrika Mashariki

Kimbunga Kikali cha Freddy kinaelekea Afrika Mashariki

Isijekua mambo ya Jobo kumbe watu wanataka kupitisha sembe
 
Wataalamu wanasema kwamba grographical location ya Tz inaipa adv ya kuwa free from cyclones..wanadai unavyosogea equator ndio vimbunga hivyo vinavyoisha nguvu...na as you go further south ndo vinavyokuwa vikali zaidi....nafikiri mnakumbuka vile vya mwaka juzi kule Lindi.... Na msumbiji ..so we will be safe.
 
Back
Top Bottom