KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

..msilaumu jamaa, shule imempita mbali mjue.. Ndo mana mambo ya ndani kaweka hadharan
 
Nimegundua wadada wengi wa kibongo wanamchukia Zari, leo kila kona wanafurahi hawataki kaka yao kuimport
 
Huyo mange alikukosea nini? Maana kila post lazima umtaje!
Halafu ile kishabiki shabiki ! Mwanaume gani unashadadia masuala ya mwanamke?
Kumuamini Mange ni kosa? hivi Mange akisema wewe unaweza pinga na utaanzia wapi?
 
iyo ni kiki tuu izo picha diamond amezifuta na zari amefuta pia jioni hii chibu kapost video ya picha kadhaa na zari huku ikiwa na nyimbo ya SITAKI USHAMBENGA..
 

 
Makeup...to breakup...ni Uzushi wa kiwango cha Lami..not to that extent..

Zari anatembea na MAPEDESHEEE, tupeni Wasifu wa huyo NJEMBA..
 
Aende zake kwa Mobeto na uwe ukweli. Zari muonyeshe huyo kijana ambaye hana heshima kwa wanawake ingawa unasingiziwa haya.
kwa mara ya kwanza upo against na kipenzi chako diamond...
muda unakimbia sana..!
 
Yaani jamaa kaingiza mkono wote umezama! Angalia vizuri picha, vidole vya jamaa havionekani kabisa halafu ndio utuambie ni cousin. Mhn, Diamond unachapiwa ndugu yangu
Yani ww ni mchonganishi mpk shetan anashangaa doh!!! Mondi ameshabadili gia uko mahaba yamerudi upyaaa
 
Wabongo kazi mnayoo... Poleniii...
 
Yanawahusu nini... Fanyeni yenuu
 
Diamond asipokaa vizuri atamfuata mwenziwe,
hilo li mama ni danger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…