KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

Sitoi 'kiki'[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
 
Apumzike mahala pema kaka wa watu mwema.
Aliachana nae kwa mbwembwe akifikiri kafika kwa Chibu...yako wapi?
Kaka wa watu kafa kwa stress sababu yake,sijui ataenda wapi!
yaan nataka mungu ampige kiboko tukiwa hai akumbuke upendo wa ivan,

watu wametoa povuuuu mara mond anamzidi ivan kitandani ahaaaa hata tembo hawezi kumridhisha malaya
 
Hiyo ni kiki hamna lolote, huu mwaka mgumu sana kwa wasanii siasa imeshika kila mahali, bila kiki uchwara hutoboi, hamuoni hadi wengine wanaanika misambwanda mubashara?
 
Diamond hata ndugu zake huenda watakuwa wanamshauri sana aachane na Zari, sio rika lake. Ila picha hiyo ni photoshop.
 
Lakini inauma jamani enzi zetu hizi wanawake wengi hawajielewi
 
Hivi mchanga wa almasi kwa kiswahili unaitwaje? Nadhani ndio utakuwa wimbo mpya wa mondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…