KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

Sitoi 'kiki'[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
 
Apumzike mahala pema kaka wa watu mwema.
Aliachana nae kwa mbwembwe akifikiri kafika kwa Chibu...yako wapi?
Kaka wa watu kafa kwa stress sababu yake,sijui ataenda wapi!
yaan nataka mungu ampige kiboko tukiwa hai akumbuke upendo wa ivan,

watu wametoa povuuuu mara mond anamzidi ivan kitandani ahaaaa hata tembo hawezi kumridhisha malaya
 
Hiyo ni kiki hamna lolote, huu mwaka mgumu sana kwa wasanii siasa imeshika kila mahali, bila kiki uchwara hutoboi, hamuoni hadi wengine wanaanika misambwanda mubashara?
 
Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.

Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...

Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
Diamond hata ndugu zake huenda watakuwa wanamshauri sana aachane na Zari, sio rika lake. Ila picha hiyo ni photoshop.
 
Lakini inauma jamani enzi zetu hizi wanawake wengi hawajielewi
 
Back
Top Bottom