babu ibrahim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 253
- 108
Auae kwa upanga atakufa kwa upanga nani alikidanganya kunguru anafugiaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii siku naisubiriii kwa hamuYetu machoooooo. Mie nataka kumuona Misa baby akijimwayamwaya na Chibu kwa raha zake.
Hihiiiiiiiii
yaan nataka mungu ampige kiboko tukiwa hai akumbuke upendo wa ivan,Apumzike mahala pema kaka wa watu mwema.
Aliachana nae kwa mbwembwe akifikiri kafika kwa Chibu...yako wapi?
Kaka wa watu kafa kwa stress sababu yake,sijui ataenda wapi!
kwann mkuuMondi anaweza akawa dingi wako
Yanatuhusu ndiyo maana na wewe umecomment, yasingetuhusu ungekaa kimya!!Yanawahusu nini... Fanyeni yenuu
photoshop anatafuta njia ya kumuacha.
Shamba la kukodisha sio lako, chukua chako uondoke zako
Diamond hata ndugu zake huenda watakuwa wanamshauri sana aachane na Zari, sio rika lake. Ila picha hiyo ni photoshop.Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.
Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...
Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
Alikuwa anapima OilHivo huo mkono wa huyo jamaa mbona siuoni?...macho yangu mabovu ama!!