Aise hongera sana zikufikiemm zari nmesoma nae na nmekula mzigo nirshangaa chibu alivyomuoa huyo demu
Nimecheeeekaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani Mange yeye anasemaje?
Ulitaka awekeje kichwa? Kimesimama wima?Photoshop hyo mtu atawekaje kichwa hivyo, new song loading endeleni kujaza uzi
DUuuuuu wanawake akili zenu mnazijua wenyewe yaani utasherekea mwanamke mwenzio akiachwa!Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.
Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...
Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
Mkuu una macho kama yanguHiyo picha ni fake kabisa!! ALIYEITENGENEZA HAJUI CHEKI SHINGO LA HUYO MWANAUME.
[emoji4][emoji4][emoji4] Dad... Upo...Hawatuhamishi kwenye hoja ya Makanikia kwa kiki zao.
Ngoja tuwe waangaliaji
Ila hapo Photoshop hakuna zote ni picha sahihi angalia mkono wa zari uliposhika na angalia mkono wa jamaa uliposhika
Yeye anadai kua ni photoshop na kuweka picha ya huyo dada mwingine ila si kweli
Dada ukipewa jibu fanya kunitag.Hayo amefanya baada ya kutoka msibani au kabla ya kufiwa na mumewe "kipenzi"?
[emoji4][emoji4][emoji4] Dad... Upo...
Wewe mkuu wewe.Kwani Mange yeye anasemaje?