KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

Ngoja tuwe waangaliaji
Ila hapo Photoshop hakuna zote ni picha sahihi angalia mkono wa zari uliposhika na angalia mkono wa jamaa uliposhika

Yeye anadai kua ni photoshop na kuweka picha ya huyo dada mwingine ila si kweli
 
Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.

Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...

Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
DUuuuuu wanawake akili zenu mnazijua wenyewe yaani utasherekea mwanamke mwenzio akiachwa!
Aiseee
 
Mmmmhhh naona makinikia yamefika madale
 
Sasa hiyo picha ina shida gani?
Mbona wengi hupiga za hivi? na mbona hata Diamond hupiga za hivi?
 
Ngoja tuwe waangaliaji
Ila hapo Photoshop hakuna zote ni picha sahihi angalia mkono wa zari uliposhika na angalia mkono wa jamaa uliposhika

Yeye anadai kua ni photoshop na kuweka picha ya huyo dada mwingine ila si kweli

Nani aliyesema photoshop?? Au lugha ya mkoloni inapiga chenga kidogo

"Photo credit was by his wife. He is my kids' uncle, the late's cousin And I happened to meet them at a spa. When you are that IT loyal gal, someone will always find fault when it's not there just to cover and turn around stories of all the dirty they do
behind vou back."
 
e635514ad5228b82f1497013ffcdd8df.png

Kumbe mama Tifah hata ya kiswahili anayafahamu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom