[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mm zari nmesoma nae na nmekula mzigo nirshangaa chibu alivyomuoa huyo demu
Umeona eh, yani mambo ya sijui ku swim na mashemeji humo ndani hapana kwa kweli wengine sie washambaNdio maana mm sitaki mambo ya kizungu kwny mapenzi
Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.
Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...
Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
waffle ndio nini nawew usituzingue hapa.... BONGOLOSTSBwa! Ha! Ha! Ha!
Dah...mazee umenichekesha sana.
Unajua sikuwa nategemea kuona mambo ya 'Mange keshasema' huku [sijui hata kwa nini].
Nimecheka hadi nimepaliwa na hii waffle nnayoila hapa.
Ila kama Mange keshasema ndo basi tena...huo ndo ukweli wenyewe.
ππππππ
Mhhhh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Itakuwa ndo uzungu labda. Mimi siwezi kumkaribia mtu ambaye si mpenzi wangu kwenye swimming pool namna hiyo. Labda awe mwalimu ananifundisha kuogelea
Ata mkono nao? wa jamaaHiyo picha ni fake kabisa!! ALIYEITENGENEZA HAJUI CHEKI SHINGO LA HUYO MWANAUME.
shoga jua hata ivan yalimshinda haya maana alifikia wakati anamsalit kwa maradiki wa karibu sembuse huyu wa mbagala?So far Zari keshajibu kuwa hiyo picha alipigwa na mke wa jamaa aliyeko naye ktk swimming pool.
Pia kaweka picha ya jamaa na mke wake ktk hilohilo swimming pool.
Hehehe leo rahaaaaaa.