KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

Hata watoto sio wa mond tulia na wabongo.

Mfupa ulomshinda fisi utaula wewe mond?? Hata ivan yalimshinda

wala sio kick kwan yeye mond ana nn ambacho ivan hakuwa nacho?
 
Itakuwa ndo uzungu labda. Mimi siwezi kumkaribia mtu ambaye si mpenzi wangu kwenye swimming pool namna hiyo. Labda awe mwalimu ananifundisha kuogelea
 
180018b2e10f3b8fd95d2d15bd481ab0.jpg
 
unajua Mond atakua 'threatened' na new 'status' ya Zari (kutajirika ghafla),wanaume wengi hawako tayari wake zao wawazidi kipato,position yao ya kuwa in control kulea watoto,mke au familia kwa ujumla,inawaacha confused........................
 
Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.

Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...

Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.

Wewe unaachwa lini rasmi?

Wanadamu wengine bwana sijui waliumbwa saa ngapi? Waachane ufaidi nini wewe?!

Satanism has become rampant
 
Bwa! Ha! Ha! Ha!

Dah...mazee umenichekesha sana.

Unajua sikuwa nategemea kuona mambo ya 'Mange keshasema' huku [sijui hata kwa nini].

Nimecheka hadi nimepaliwa na hii waffle nnayoila hapa.

Ila kama Mange keshasema ndo basi tena...huo ndo ukweli wenyewe.

😀😀😀😀😀😀
waffle ndio nini nawew usituzingue hapa.... BONGOLOSTS
 
kumbe kavaa nguo za kuogelea nikajua uchi uchi yani... mambo madogo hayo
 
Kweli ata me kamkono nmekaona ka uyo njemba.... Lakin ctak niamin .. Cjui kwnn ata,
 
So far Zari keshajibu kuwa hiyo picha alipigwa na mke wa jamaa aliyeko naye ktk swimming pool.
Pia kaweka picha ya jamaa na mke wake ktk hilohilo swimming pool.
Hehehe leo rahaaaaaa.
shoga jua hata ivan yalimshinda haya maana alifikia wakati anamsalit kwa maradiki wa karibu sembuse huyu wa mbagala?
 
Back
Top Bottom