[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu nae anataka nini zari si kama mamake
Halafu nilidhani ni kick ila sio,ingekuwa kick Diamond asingefuta.The boss lady anaonekana kuweweseka kabisaaaa.....
Ebu tazama ata maandiko yake yanaonekana alikua anatetemeka kwa hofu ya kubinuliwa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nina maana ni kuruka .... ukakanyaga.... Juzi nilikuwa namhurumia anavyobeba mibaba mitatu. Nafikiri kama anataka kubadilisha ni bora kutafuta asiye na mtoto na mwanaume mwingine. Ni mawazo yangu finyu tuKwani Zari hana watoto kwa aliyekuwa X wake the late Ivan?
Mkuu mi kama wewe nimejitahidi kukodoa ila sijafanikiwa kuuuona!![emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]Hivo huo mkono wa huyo jamaa mbona siuoni?...macho yangu mabovu ama!!
Seriously??!!Bila ACACIA yote haya yasingetokea.
Bado hajaongelea bila shaka anasubiri evidenceKubuhu sina access ya Insta, ndo maana naulizia dictionary yetu ya Insta inasemaje kuhusu hilo.
Nimekumiss!
Ni watoto wako mkuuNillan na Tiffa sio watoto wa Mondi
Muda ndio msema kweli we subiri tu utaona ukweli
Alivyo futa zari hujaona!Halafu nilidhani ni kick ila sio,ingekuwa kick Diamond asingefuta.
Na uthibitisho wa pili wa bosslady ndio kabisaaaa,sio kwa matusi na povu lile hahaha
Nimemuongelea aliyelianzisha,Zari hata akifuta haina maana yoyote.Alivyo futa zari hujaona!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu nilidhani ni kick ila sio,ingekuwa kick Diamond asingefuta.
Na uthibitisho wa pili wa bosslady ndio kabisaaaa,sio kwa matusi na povu lile hahaha
Tumia jicho la tatuHivo huo mkono wa huyo jamaa mbona siuoni?...macho yangu mabovu ama!!
Mhhhhh........Dimond kamaindi baada ya Zari kusema kuwa Nillan ni mtoto wa Ivan
Sasa Dimond anatafuta sababu ya kumwaga manyanga.
Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.
Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...
Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
Hamisa hana pesa!Dini yake si inamruhusu? Amuongeze na Hamisa...