KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

KIMENUKA: Diamond akerwa na picha za kimahaba za Zari na njemba nyingine

The boss lady anaonekana kuweweseka kabisaaaa.....
Ebu tazama ata maandiko yake yanaonekana alikua anatetemeka kwa hofu ya kubinuliwa....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Halafu nilidhani ni kick ila sio,ingekuwa kick Diamond asingefuta.

Na uthibitisho wa pili wa bosslady ndio kabisaaaa,sio kwa matusi na povu lile hahaha
 
Kwani Zari hana watoto kwa aliyekuwa X wake the late Ivan?
Nina maana ni kuruka .... ukakanyaga.... Juzi nilikuwa namhurumia anavyobeba mibaba mitatu. Nafikiri kama anataka kubadilisha ni bora kutafuta asiye na mtoto na mwanaume mwingine. Ni mawazo yangu finyu tu
 
Dimond kamaindi baada ya Zari kusema kuwa Nillan ni mtoto wa Ivan.

Sasa Dimond anatafuta sababu ya kumwaga manyanga na asije kuthubutu yule Mganda hatomuacha salama.
 
Walikuwa wanaloweka kwenye maji humo humo.
 
Hakunaga mahusiano ya kiaminifu kwa mwanamke mwenye watoto kwa bwana mwingine....alipaswa kujua hili mapema
 
Halafu nilidhani ni kick ila sio,ingekuwa kick Diamond asingefuta.

Na uthibitisho wa pili wa bosslady ndio kabisaaaa,sio kwa matusi na povu lile hahaha
Alivyo futa zari hujaona!
 
Kwa wazoefu wa computer ni rahisi kugundua picha hii ni ya kupandikiza (photoshop). Nampa pole Diamond kwa kuhamaki.
 
"hana class" mara kiba... mbona diamond ni diamond ww unakazania awe kama kiba?
 
Halafu nilidhani ni kick ila sio,ingekuwa kick Diamond asingefuta.

Na uthibitisho wa pili wa bosslady ndio kabisaaaa,sio kwa matusi na povu lile hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatari sana....
 
Mh Nifah! Just remember that KARMA IS A BITCH.

Huhuuuuuuu kama ni kweli na sio kick kama kawaida ya Diamond nitafanya sherehe.

Ni muda sasa namfuatilia Diamond ktk page yake ya Insta naona kafuta posts mbalimbali zinazomhusu Zari (Kifo cha Ivan),ila sijajua kama angefikia hapa.
Tusubiri na tuone...

Naombeaje kuhusu Misa baby iwe kweli sasa jamani? Uwiiiiiiiii
Haki siwezi kusubiri kumuona Hamisa ndani ya madale.
 
Back
Top Bottom