KIMENUKA,Diamond na Mavoko wakutana uso kwa uso Basata,Diamond aonekana kutetemeka kama mtoto mdogo alioga maji ya barafu

mtu haitikii hata salam ya mwanahabari, kashikwa bega sijui ndo bidgadi wake ili asianguke kwa kihoro ndo aje amtetemeshe diamond?
 
common Msaga sumu u can do better than this,mbona kutetemeka huko kwa Diamond umekuona wewe tu?
 
Rich amebugi sana, nimefatilia interview alizofanya kabla ya kujitoa WCB na interview ya Sallam SK, WCB wanaonekana wako very professional, nadhani Mavoko kapata washauri wabaya ambao nia yao sio kumsaidia, wanaweza kuwa ni maadui wa WCB wanamumia tu kuichafua WCB na lengo lao likitimia au kufanikiwa hawatakua na time tena na yeye na hapo ndio atajua kama alikua ananyonywa au laah, Ila mwisho wa siku atakuja kuomba msamaha kwa yote anayoyafanya leo, kiufupianajiandalia majuto ya baadae.

Kwenye maisha kila siku tunatafuta marafiki wazuri na exposure, kwa WCB Mavoko alikua amepata vyote sasa anaenda kuvipoteza.
 
Hata Basata siku hizi wanatafuta kick kweli hatari, kama nawaona wanaomba ugomvi uendelee tuu
 
Nadhani busara inetumika kumaliza mambo yao basata kuliko mahakamani!

Ni kama mmekoseana mtu na kaka yako badala ya kwenda mahakamani mnayafuta baba awasuluhishe

Mahakamani lazma kuna mmoja angepoteza!
 
Nadhani busara inetumika kumaliza mambo yao basata kuliko mahakamani!

Ni kama mmekoseana mtu na kaka yako badala ya kwenda mahakamani mnayafuta baba awasuluhishe

Mahakamani lazma kuna mmoja angepoteza!
 
A good person
 
Mitapeli ndio inavyokuwaga walahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…