MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kama inavyoonekana hapa Diamond akuamini na anaonekana kutetemeka kama mtoto mdogo aliyelezimishwa kuoga maji ya baridi saa kumi na moja alfariji na viboko juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha unajuaga kupamba habari zako wewe dahKama inavyoonekana hapa Diamond akuamini na anaonekana kutetemeka kama mtoto mdogo aliyelezimishwa kuoga maji ya baridi saa kumi na moja alfariji na viboko juu.
HahahahaAnatetemekea nini ? fafanua kijana
A good personHii ndio tofauti ya diamond na wasanii wengine..
Hata kama amemind anajifanya anacheka na waandishi wa habari..anajitahidi kuondoka na mioyo ya mashabiki..
Mavoco kafeli kabla hata pepa halijaanza...kwanza kagoma hata kusalimia waandishi japo hata kwa kupunga mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Mitapeli ndio inavyokuwaga walahiHii ndio tofauti ya diamond na wasanii wengine..