kinachompeleka mavoko ni kutoridhishwa na mkataba uongelee au usiongelee ila ukweli uko hapo.
alishikiwa bunduki wakati wa kusaini?
Miezi 6 sio mwakaUtabiri wangu, baada ya mwaka mmoja tutasikia Mavoko akijutia anachokifanya sahivi
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi makinikia mkuu nahitaji updatesyaani kwa sababu ulikosea wakati wa kusign, ukashtka unaliwa ndo ukae kimya kwa sababu ulisign kwa hiyari?., aisee
mpka leo ushaingizwa mkenge hawezi kutumia maji ya ziwa victoria
ziwa nyasa sio la Tanzania
makinikia yasongekuwepo
mikataba ya berlin kuigawa africa ingekuwa inplace!
unaishi kwa theory
Ni kweli though, lazima baada ya hapa wawe makini, amewazindua na wasanii wengine ambao wataingia mikataba baadaye. Watu hujifunza kupitia wengine.Diamond kapanic balaa mameneja wote hao kisa mtu mmoja aiseeee
Rich hata kama atapotea ila ana ka ushindi ka kuwatetemesha WCB,akina lavalava watapata afuen ya marupurupu shukran kwa mavoko kuwazindua WCB kutoka kwenye kujiona watawala wakunyenyekewa muda wote