KIMENUKA,Diamond na Mavoko wakutana uso kwa uso Basata,Diamond aonekana kutetemeka kama mtoto mdogo alioga maji ya barafu

KIMENUKA,Diamond na Mavoko wakutana uso kwa uso Basata,Diamond aonekana kutetemeka kama mtoto mdogo alioga maji ya barafu

kinachompeleka mavoko ni kutoridhishwa na mkataba uongelee au usiongelee ila ukweli uko hapo.

alishikiwa bunduki wakati wa kusaini?

yaani kwa sababu ulikosea wakati wa kusign, ukashtka unaliwa ndo ukae kimya kwa sababu ulisign kwa hiyari?., aisee

mpka leo ushaingizwa mkenge hawezi kutumia maji ya ziwa victoria

ziwa nyasa sio la Tanzania

makinikia yasongekuwepo

mikataba ya berlin kuigawa africa ingekuwa inplace!

unaishi kwa theory
 
[emoji14] [emoji14]
Screenshot_20180823-235246.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani kwa sababu ulikosea wakati wa kusign, ukashtka unaliwa ndo ukae kimya kwa sababu ulisign kwa hiyari?., aisee

mpka leo ushaingizwa mkenge hawezi kutumia maji ya ziwa victoria

ziwa nyasa sio la Tanzania

makinikia yasongekuwepo

mikataba ya berlin kuigawa africa ingekuwa inplace!

unaishi kwa theory
vipi makinikia mkuu nahitaji updates
 
Huyo mwenye nyeusi ni dadake Richi Mavoko...?

Alrighty babygal...I see ya!
 
Diamond kapanic balaa mameneja wote hao kisa mtu mmoja aiseeee

Rich hata kama atapotea ila ana ka ushindi ka kuwatetemesha WCB,akina lavalava watapata afuen ya marupurupu shukran kwa mavoko kuwazindua WCB kutoka kwenye kujiona watawala wakunyenyekewa muda wote
Ni kweli though, lazima baada ya hapa wawe makini, amewazindua na wasanii wengine ambao wataingia mikataba baadaye. Watu hujifunza kupitia wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mavoko anaruka ruka tu
Tofauti yake na Diamond mwenzake amekuja na mameneja mwake yeye amekwenda na shangazi yake
Kwa sisi wapenzi wa somo la sheria,tungemshauri akimbilie mahakama kuu kitengo cha biashara wangepewa arbitration
Mkataba kama huo hauvunjiki basata labda Diamond aamue
 
Back
Top Bottom