KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

Hukumu inatolewa na mawakili au majaji mahakamani?
Kama Diva ataona hana sababu ya kuomba msamaha na kulipa anayodai mteja wao, basi hatua za kisheria ikiwepo kulifikisha shauri hili mahakamani utafanyika. Hapa ni kwamba wanamwomba Diva wayamalize nje ya mahakama, kama ataona vipi, basi asubiri kupandishwa kizimbani.
 
Wote hawana akili.

Vitu vingine katika maisha Wanaume huwa tunafanyaga siri, hakukuwa na haja ya yeye kutuambia aliwahi kuwa na mahusiano na Diva.

Mwisho wa siku anaweza kujikuta anaaibika yeye.
 
Ayaaa (mod) ondoa hiyo picha ya kimwanamke mwanangu kaiona kalia sana mtu jini mimacho gani tena hiyo
 
Mimi ,, mwanamme yoyote anayetegemea mgongo wa mwanamke kula namuona kama Mpuuzi tuu.

Naifike mahali izo sheria zenu kwanza ziwe zinaangalia na mazingira.

Wanaume tusipende vinyonge.
 
Wote hawana akili.

Vitu vingine katika maisha Wanaume huwa tunafanyaga siri, hakukuwa na haja ya yeye kutuambia aliwahi kuwa na mahusiano na Diva.

Mwisho wa siku anaweza kujikuta anaaibika yeye.
Hahahaaa mfano siku huyo diva ajitangaze kuwa ana Ngoma halafu tumuulize jamaa anajisikiaje na alikuwa mpiga gitaa wake utashangaa jamaa atakavyoruka kilometa 10000000000!!!
 
Kiki za kipumbavu achaneni nao huyo mwanaume anajifanya mwanamuziki nadhani anapitia njia za kiki
 
Hawa wote si wapo Clouds kwa nini wamefikia hapo Boss asiwasuruhishe au kuna mmoja kahama hapo Clouds??
 
Wanaume wa dar; imebaki mpimwe tez dume tu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Halafu wanawake wengine huwa hawajielewi kabisaa hata kama leo umemuona wa kazi gani sio kumtusi mwanaume alioona uchi wako namna hyo. Ndo maana hamuolewi kwa tabia zenu mbaya kama hizi. Kama alikukula alikukula tuu hata kama leo unakataa kwa matusi. Hata kama umepata bwana mwingine mpya usimkashfu wa zamani.
Una busara,nimekupenda bure...nitakuja huko pm!
 
Back
Top Bottom