KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

Huyo chalii hajazoea kula vitu vizuri ndo maana... Nikimuonesha vitu nilivyovikula anaweza dhani mi chibu
 
Kama kweli alimla kulikuwa na ulazima gani wa kuyaweka hadharani wakati amesema kabisa mahusiano yao yalikuwa ya siri? Tumuite rijali ama? Huyo mwanaume pia ana matatizo
Tena sana....
Ni kutafuta kiki tu...
 
Sio Mdar ni Mtanga
Inawezekana...
Nimeishi nao sana wana vijitabia flan hivi...vya...ki....!
Umbeya..mafumbo...nongwa...vishonyo...mashauzi .maringo tete...na unafiki as usual!
Zaramo type!
 
Kiki hizo jamaa alikuwa CMG,kaacha kazi sasa hivi mwanamziki katoa nyimbo yake,sasa naona hizi habari kwa ajili ya promo ,hamna kitu upuuuuuuzi mtupu.
 
Hivi hukumu ya kulipa fidia huwa inatolewa na Wanasheria au na Hakimu mahakamani baada ya kesi kusikilizwa?
 
tarehe 26 april sio mbali jamani. zimebaki siku chache sana.
 
Back
Top Bottom