kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,475
Baba yake diva anampunga mrefu muhaya yule ataweza kulipa wako vizuriSasa huyo kitoko ataweza lipa hata 10% ya adhabu aliopewa kweli?
Mbona hio 50m ni kama death sentence tayari,,,
Make a wishBaba yake diva anampunga mrefu muhaya yule ataweza kulipa wako vizuri
Hivi we mtu ulikuwaga wapi?? Maana yaani umekuja ile Vuuuuup!! Ki denja denja!Huyo Diva ndiye nilikuwa naona matangazo juu ya nguzo za umeme kuwa anataka mchumba?
Uliwahi kuniona humu?Hivi we mtu ulikuwaga wapi?? Maana yaani umekuja ile Vuuuuup!! Ki denja denja!
Kama Diva ataona hana sababu ya kuomba msamaha na kulipa anayodai mteja wao, basi hatua za kisheria ikiwepo kulifikisha shauri hili mahakamani utafanyika. Hapa ni kwamba wanamwomba Diva wayamalize nje ya mahakama, kama ataona vipi, basi asubiri kupandishwa kizimbani.Hukumu inatolewa na mawakili au majaji mahakamani?
Nop!! Ndiyo maana nimekuuliza!!Uliwahi kuniona humu?
Sawa tuendelee kupiga Soga.Nop!! Ndiyo maana nimekuuliza!!
Hahahaaa mfano siku huyo diva ajitangaze kuwa ana Ngoma halafu tumuulize jamaa anajisikiaje na alikuwa mpiga gitaa wake utashangaa jamaa atakavyoruka kilometa 10000000000!!!Wote hawana akili.
Vitu vingine katika maisha Wanaume huwa tunafanyaga siri, hakukuwa na haja ya yeye kutuambia aliwahi kuwa na mahusiano na Diva.
Mwisho wa siku anaweza kujikuta anaaibika yeye.
Poa!Sawa tuendelee kupiga Soga.
Una busara,nimekupenda bure...nitakuja huko pm!Halafu wanawake wengine huwa hawajielewi kabisaa hata kama leo umemuona wa kazi gani sio kumtusi mwanaume alioona uchi wako namna hyo. Ndo maana hamuolewi kwa tabia zenu mbaya kama hizi. Kama alikukula alikukula tuu hata kama leo unakataa kwa matusi. Hata kama umepata bwana mwingine mpya usimkashfu wa zamani.