OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Dah hapana mbali sanaLakini ni karibu ya Dar hapo 😀😀😀😀
Ndio maana jamaa anataka kuwapima tezi dume.Wa Dar.
Tena sana....Kama kweli alimla kulikuwa na ulazima gani wa kuyaweka hadharani wakati amesema kabisa mahusiano yao yalikuwa ya siri? Tumuite rijali ama? Huyo mwanaume pia ana matatizo
Inawezekana...Sio Mdar ni Mtanga
Umeniwahi duh!Wa Dar.
Asubirie za mahali labda maana alisema mahali yake Bila milioni 500 uoi pale,Sasa huyo kitoko ataweza lipa hata 10% ya adhabu aliopewa kweli?
Mbona hio 50m ni kama death sentence tayari,,,
Wanaume wa dar wana makelele sanaHuyo Lukindo naye hamnazo, wanaume wa Dar ktk ubora wao.
Mahari kutoka kwa nani asie na akili huyo?Hiyo faini ni ndogo sana kwa Diva, mahali amepata 500m akitoa hiyo 50 anabakiwa na 450m
Toka lini kina Lukindo Wakawa wenyeji wa mkoa wa DarWa Dar.
Lukindo ameshaondoka cloudsHawa wote si wapo Clouds kwa nini wamefikia hapo Boss asiwasuruhishe au kuna mmoja kahama hapo Clouds??