Zakamwamoba Senior Member Joined Jul 28, 2016 Posts 177 Reaction score 609 Apr 23, 2018 Thread starter #101 Queen dee said: Ndio tena alitukana zaidi ya hayo kuna matusi mengine hayajawekwa ilikuwa ni kwenye you heard ya soudy brown kwenye XXL YA CLOUDS FM Click to expand... Na kwenye page yake ya Insta
Queen dee said: Ndio tena alitukana zaidi ya hayo kuna matusi mengine hayajawekwa ilikuwa ni kwenye you heard ya soudy brown kwenye XXL YA CLOUDS FM Click to expand... Na kwenye page yake ya Insta
Gef JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 500 Reaction score 433 Apr 23, 2018 #102 spleen said: Wa Dar. Click to expand... daaa umetisha baba
sonzawileme JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 502 Reaction score 284 Apr 23, 2018 #103 Mwanaume gani wa hivyo
PAKAYA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 362 Reaction score 169 Apr 23, 2018 #104 mijitu mingine bana kama umemega si ukae kimya tu kweli wanaume wa dar mhh!!
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,558 Apr 23, 2018 #105 spleen said: Wa Dar. Click to expand... Dar hatuna jina kama dawa ya kienyeji kama hili nadhani Lukindo mtafutane wenyewe uko mashambani.
spleen said: Wa Dar. Click to expand... Dar hatuna jina kama dawa ya kienyeji kama hili nadhani Lukindo mtafutane wenyewe uko mashambani.
SALOK JF-Expert Member Joined Sep 20, 2011 Posts 3,364 Reaction score 2,001 Apr 24, 2018 #106 Saint Ivuga said: Huyu Lukindo ni mwanaume wa aina gani? Anamsumbua tu Diva bila sababu ya msingi. Click to expand... Wenzake wanavujisha clip tu halafu asubuhi na mapema wanawahi BASATA kwisha jeuri yake huyo Diva..!!!
Saint Ivuga said: Huyu Lukindo ni mwanaume wa aina gani? Anamsumbua tu Diva bila sababu ya msingi. Click to expand... Wenzake wanavujisha clip tu halafu asubuhi na mapema wanawahi BASATA kwisha jeuri yake huyo Diva..!!!