KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

KIMENUKA: Diva atakiwa kumlipa Michael Lukindo Milioni 50 kwa kumdhalilisha

mijitu mingine bana kama umemega si ukae kimya tu kweli wanaume wa dar mhh!!
 
Huyu Lukindo ni mwanaume wa aina gani?

Anamsumbua tu Diva bila sababu ya msingi.
Wenzake wanavujisha clip tu halafu asubuhi na mapema wanawahi BASATA kwisha jeuri yake huyo Diva..!!!
 
Back
Top Bottom