Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kwa kipiHawa jamaa wanajielewa sana sio sie tunajamba jamba tuu huku tunakufa humu humu nchini mwetu
Mzeeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kipiHawa jamaa wanajielewa sana sio sie tunajamba jamba tuu huku tunakufa humu humu nchini mwetu
Sasa hapo sii wamesema kabisa illegal immigrats ndio wanawafanyia kazi. Wee huoni kuwa hiyo ni akili kubwa. Hawana ishu na foreigners wenye permitsKwa kipi
Mzeeo
Manwewe unataka kitokew hapaSasa hapo sii wamesema kabisa illegal immigrats ndio wanawafanyia kazi. Wee huoni kuwa hiyo ni akili kubwa. Hawana ishu na foreigners wenye permits
Ndio lazima tuondoe illegal immigrantsManwewe unataka kitokew hapa
Hao jamaa wana roho ngumu saana aiseeWaraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu
Propaganda za makaburu hizo, wanalipa wahuni kufanya fujo ili waAfrika waonekqne hawapendaniWaraka huo hapo chini,wapeni Tahadhari ndugu,jamaa na marafiki zenu
Kama inakuja vile!!!Propaganda za makaburu hizo, wanalipa wahuni kufanya fujo ili waAfrika waonekqne hawapendani
Wakati mwingine huwa akili yako inakuwa na akili mkuu!Propaganda za makaburu hizo, wanalipa wahuni kufanya fujo ili waAfrika waonekqne hawapendani
Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu.
Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone😂
Hata sisi nchi yetu imejaa hatutaki foreighner
Hii ni baada ya wananchi kutia vipigo vya mbwa Koko.
Kabla ya kuwazingua watakuwa wanaomba waonyeshwe makaratasi au??Sasa hapo sii wamesema kabisa illegal immigrats ndio wanawafanyia kazi. Wee huoni kuwa hiyo ni akili kubwa. Hawana ishu na foreigners wenye permits
Yaani wee illegal immigrants huwezi kuwajua?Kabla ya kuwazingua watakuwa wanaomba waonyeshwe makaratasi au??
Dah,how mkuu??Yaani wee illegal immigrants huwezi kuwajua?
Swali kwa nini weusi wasikae kwenye nchi zao wakimbilie huko? Wazungu wa huko ni wakazi halali.Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu.
Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone😂
Wee utatoa kibali kwa mchimba mitaro au drug dealer?Dah,how mkuu??