saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,880
- 2,843
Wakirudi mazimbu na dakawa, tunao watajura kuja huku wasirudi nyuma walikotoa.[emoji57]Kati ya weusi mazuzu ni wasauzi hivi wanadeal na kuwafukuza waafrica wenzao, wanawakwepa wazungu.
Wajaribu kuleta hizi habari viunga vya Petori waone[emoji23]