Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Yaaaaaani.
Sasa mtu kajifia na zake..
Ila zari anachukiwa jamani!

Hakiiiiii sijui anawezaje kuhandle that hate.
To handle it mm it needs one with steel heart.
Ila for sure wabongo ni nuksi tena nuksi chafu. Yaan wanamsakama Kila uchwao but guess what??? God is still on her side, yaan hajadumbukia kwenye shimo wanalomchimbia.
 
Ukimuonyesha unampenda na ukamnyenyeka tu basi anakupa funguo ya moyo wake bila kujua huo unyeyekevu anaoupata anaulopaje. Anatumika na watu wengi sana na hata ukimwambia huyu mbaya huwa hajali
Yaan hanaga hekima hapo tuu. And she thinks watu wanampenda and they are real but the truth is hana loyal friend hata mmoja. Each one of her friends she is after something but not for true friendship.
Halafu ana akili isiyo jifunza kbs. She never learn from her mistakes, Leo akitibuliwa na huyu kesho kesha tafuta mwingine.
 
Aisee tutarajie kuumbuka kwa watu wengi. Ile ya kunyonyesha miezi 6 ilikua inafichia watu aibu ya kujulikana.
Yeah zamani nilikua najua hawanyonyeshi then nikaambiwa wananyonyesha nikawa nagonga wazazi hao Mara nikaambiwa wanaruhusiwa kunyonyesha . then mwaka huu nikawa napiga story na Dada yangu ambaye anadeal na waathirika akasema now imakatazwa kunyonyesha mtoto maana wanawaambukiza ila akasema ARV imepunguza sana maambukizi ya ukimwi
 
Yahh ni kweli si unaona hata mitaani hakuna wakondefu komdefu au waliojiishia dawa zinasaidia sana. Basi umenifungua akili nilikua sijui aisee. Ni bora waache tuu mtotot kama hajapata na kazaliwa kwa operation vze ni bora akanywa tuu maziwa mengine ili ujihakikishie afya yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…