Hizi vurugu zote unszoziona huko insta lengo kuu ni kukuza brand, km wasemavyo wenyewe kuwa wanafanya biashara ya utumbo so hawaogopi kuchafuka!!!Haji nae toka Muro apewe udc anatapata sana
Ewaaaaa.. na alivyo mjanja akafytua wawili paaaap ili awe tofauti na wenzake apewe nyingi. Kwanza alikuaga Ruge atamuoa ndo maana akashusha haraka haraka kumbe mwenzie senior bachelor zaa at your own risk mamiyakeNyumba ni ya watt. Yy pale ni kwa hisan ya juhjuh.......
Mama machatu....uwiii kipindi kile nilikuwa naotaga nikimuona kajiviringisha shingoni haahaa sijui utoto! Ila hadi now naogopa kinomazzHahahahaaha. .kimama majoka!!
Huwezi elewa NN. Wanawake tukiamua tunaweza [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi haya mambo yote mnayatoa wapi! WhatsApp au?
Juhjuh ni mtoto wa Zama aliyemzaa na boss RugeWho is JuhJuh?
I thought was Uncle Juju!
Kuna mwingine tena?
Haaahaaa uwiiHaswaaaa,,........
Naamtaip
Mwali rudi DARASA la ubuyu UB 101.Nyumba ni ya watt. Yy pale ni kwa hisan ya juhjuh.......
Kwa brand zipi jamani wanazotuchosha nazo? Jack Mengi asemeje? Au Tulia? Mtu kuwa kwenye media industry na mashauzi ya kujiona ana hela nayo brand? Basi hata gigy ana brandHizi vurugu zote unszoziona huko insta lengo kuu ni kukuza brand, km wasemavyo wenyewe kuwa wanafanya biashara ya utumbo so hawaogopi kuchafuka!!!
Hahahaahhaa..Mwali rudi DARASA la ubuyu UB 101.
hii umeabscond hii course.
Hata carry over sidhaaaaani Kama unapata kwa hiii CW.
NN hahhahahaha hahahaha.Hivi haya mambo yote mnayatoa wapi! WhatsApp au?
Oooh Ok...si kipindi kile anatafuta humu akampataga kumbe bado yuko nae? Watu hamsahau daah!Kajaa teleeee[emoji23][emoji23]
Alikua analia waendeleze maisha yao maana waeshajuana kuzaa watoto wawili ni kujuana vzr sana huko, so jamaa alikua anapretend hivi mwanaume analiaga akimaanisha kweli?? Huwa wanalia either kwa sbb hyo ishu inaweza ikamuathiri kwenye ishu zakeKwa k ipi babu weee ya kuliliwa? Kwanza inawezekana Ruge alikua anajiliza ili wasiachane aendelee kuwa karibu na wanae.
According to them!! Sio mimiKwa brand zipi jamani wanazotuchosha nazo? Jack Mengi asemeje? Au Tulia? Mtu kuwa kwenye media industry na mashauzi ya kujiona ana hela nayo brand? Basi hata gigy ana brand
Hahhahahaha khaaaa UB 101.Hahahaahhaa..
Ndiwoooo. Bidada akavimba bichwa akajua anapendwaAlikua analia waendeleze maisha yao maana waeshajuana kuzaa watoto wawili ni kujuana vzr sana huko, so jamaa alikua anapretend hivi mwanaume analiaga akimaanisha kweli?? Huwa wanalia either kwa sbb hyo ishu inaweza ikamuathiri kwenye ishu zake
Haykanani hilo grupu ni konyo nalivulia kofia[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Unaniharibia my brand[emoji15]Brand mavi mavi.. kwa brand ipi alonayo? Asituchoshee
Umekula ubuyu leoHahhahahaha khaaaa UB 101.
Leo nimekula nn kwani?