Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Hizi vurugu zote unszoziona huko insta lengo kuu ni kukuza brand, km wasemavyo wenyewe kuwa wanafanya biashara ya utumbo so hawaogopi kuchafuka!!!
Kwa brand zipi jamani wanazotuchosha nazo? Jack Mengi asemeje? Au Tulia? Mtu kuwa kwenye media industry na mashauzi ya kujiona ana hela nayo brand? Basi hata gigy ana brand
 
Kwa k ipi babu weee ya kuliliwa? Kwanza inawezekana Ruge alikua anajiliza ili wasiachane aendelee kuwa karibu na wanae.
Alikua analia waendeleze maisha yao maana waeshajuana kuzaa watoto wawili ni kujuana vzr sana huko, so jamaa alikua anapretend hivi mwanaume analiaga akimaanisha kweli?? Huwa wanalia either kwa sbb hyo ishu inaweza ikamuathiri kwenye ishu zake
 
Ndiwoooo. Bidada akavimba bichwa akajua anapendwa
 
Back
Top Bottom