Haaahaaa....kigoma moko huyoo aka mrundiWatu wa kigoma tumemkana naomba ndugu zetu wa haya wamchukue
Hahaaa!kumbeee!!sasa anakaaje na yule mkaka mwingine walahi ngewatimua miyeNyumba ni ya watt. Yy pale ni kwa hisan ya juhjuh.......
Ila numbi umemchamba mama ubaya.
Hivi kumbe hata kwenye msiba wa mtt wa Muna alijitis kimbele front?
Utu uzima!....full kupanuka kuanzia sura hadi shape!Acha tuuu shouga sielewi miili hyo inatoka wapi
Ahaaahaaaa...nyinyi mutuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya pampazzzz
Zina kila kitu kizuri ambacho we huna mtzdZina nini shoga??
Mbona zama hii nguo haikumkaa hivi?Mshono wazua balaa kumbe mwenye mshono ni mwingine. Hamisa mwizi wa kila kitu msyuuuuuu kile kidem kichawiView attachment 836959
Third partMshona magunia ni nani?!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
lol, tangu day one namuona Z kavaa ile nguo i was like "damn! what the hell"Ule mshono mzuri sanaa sema hana mwili wa kuvalia ule mshono
Huyu ana laana basi.,. Chaaaa!!Ndie aliyeanzisha masuala ya michango ila sakata lilivyokua kubwa akamwaga gazeti kukana kujihusisha na msiba huo
Kwa msiba wa masogage ndo alifanikiwa kuwa muweka hazina,zikaibuka figisu figisu za kutokabidhi pesa za mtoto wa agness kakajitetea
Masharti ya mganga hayo!Hataki kufugwa au masharti ya mganga
[emoji23] [emoji23] at ur own risk...nowadays ni motivational speaker [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]mjini bwana kuna vuruguuEwaaaaa.. na alivyo mjanja akafytua wawili paaaap ili awe tofauti na wenzake apewe nyingi. Kwanza alikuaga Ruge atamuoa ndo maana akashusha haraka haraka kumbe mwenzie senior bachelor zaa at your own risk mamiyake
Ngoja ntege sikio[emoji101] [emoji101] [emoji101]Mwali rudi DARASA la ubuyu UB 101.
hii umeabscond hii course.
Hata carry over sidhaaaaani Kama unapata kwa hiii CW.
Russell bibi wewee!!juh juh madoidoii!!Hivi huyo juhjuh hana jina lingine au ndo Russel
Rayna una akili mia mia...nimeshangaa watu humu mnampa misifa milioni!Hahaaa!kumbeee!!sasa anakaaje na yule mkaka mwingine walahi ngewatimua miye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Km namuona faiza wa sugu anavyotamani aingilie kati mpambano na yeye apate mileage
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndie aliyeanzisha masuala ya michango ila sakata lilivyokua kubwa akamwaga gazeti kukana kujihusisha na msiba huo
Kwa msiba wa masogage ndo alifanikiwa kuwa muweka hazina,zikaibuka figisu figisu za kutokabidhi pesa za mtoto wa agness kakajitetea