Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Ndie aliyeanzisha masuala ya michango ila sakata lilivyokua kubwa akamwaga gazeti kukana kujihusisha na msiba huo

Kwa msiba wa masogage ndo alifanikiwa kuwa muweka hazina,zikaibuka figisu figisu za kutokabidhi pesa za mtoto wa agness kakajitetea
Ila numbi umemchamba mama ubaya.
Hivi kumbe hata kwenye msiba wa mtt wa Muna alijitis kimbele front?
 
Ndie aliyeanzisha masuala ya michango ila sakata lilivyokua kubwa akamwaga gazeti kukana kujihusisha na msiba huo

Kwa msiba wa masogage ndo alifanikiwa kuwa muweka hazina,zikaibuka figisu figisu za kutokabidhi pesa za mtoto wa agness kakajitetea
Huyu ana laana basi.,. Chaaaa!!
 
Ewaaaaa.. na alivyo mjanja akafytua wawili paaaap ili awe tofauti na wenzake apewe nyingi. Kwanza alikuaga Ruge atamuoa ndo maana akashusha haraka haraka kumbe mwenzie senior bachelor zaa at your own risk mamiyake
[emoji23] [emoji23] at ur own risk...nowadays ni motivational speaker [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]mjini bwana kuna vuruguu
 
Hahaaa!kumbeee!!sasa anakaaje na yule mkaka mwingine walahi ngewatimua miye
Rayna una akili mia mia...nimeshangaa watu humu mnampa misifa milioni!

Hivi mwanaume rijali iwe kweli nyumba yake utathubutuu kuingiza kidume mwingine mlee? Thubutuuu!

Sasa hili ndo jibu hiyo nyumba sio yake

( anapangisha)
 
Ndie aliyeanzisha masuala ya michango ila sakata lilivyokua kubwa akamwaga gazeti kukana kujihusisha na msiba huo

Kwa msiba wa masogage ndo alifanikiwa kuwa muweka hazina,zikaibuka figisu figisu za kutokabidhi pesa za mtoto wa agness kakajitetea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom