Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

wise words from a wise woman.
[emoji122][emoji122]
 
Ndio mana nataka snowhite na Numbisa watupe desa mjengo wa Zama ni wa Zama kweli??? Ama ni pango?
Za kitaaa
Zina semaaaaa ULE MJENGO NA ILE HARUSI NI KWA HISANI YA WATU WA DAR ES SALAAAM.

Jaaaaaapo,ulionekana toka ujenzi!!
iiiiiiila baba Feza praimare sio mhusika wa tofali zile.
weeeeeeeh BADAMU BANGEMWAIKA MWAAAAAI MWAAAAI.
 
Kosa la Zamaradi ni yale magazeti yake " sherehe milion 20 oooh sijachangiwa, mgunia nimeutafuta mshono mwenyewe"

Mgazeti mmoja ( part 1) unakuja mgazeti mwingine hivo hivo kumbe full kujisifia tuu hamna la maana kujichoresha tu na kujisifia!
Hahaha yaani ndio nasoma hapa hayo majisifu yake ila wakiumwa mbio kuomba kuchangiwa.

Wasanii wa bongo ni mzigo walai.
 
Za kitaaa
Zina semaaaaa ULE MJENGO NA ILE HARUSI NI KWA HISANI YA WATU WA DAR ES SALAAAM.

Jaaaaaapo,ulionekana toka ujenzi!!
iiiiiiila baba Feza praimare sio mhusika wa tofali zile.
weeeeeeeh BADAMU BANGEMWAIKA MWAAAAAI MWAAAAI.
Aisee...
 
Rayna una akili mia mia...nimeshangaa watu humu mnampa misifa milioni!

Hivi mwanaume rijali iwe kweli nyumba yake utathubutuu kuingiza kidume mwingine mlee? Thubutuuu!

Sasa hili ndo jibu hiyo nyumba sio yake

( anapangisha)
Hapo kupanga nasadiki,hivi kabisaa waweza kuruhusu misheni akae kwakooo!miguu juu!kajiachia!sio akili hizoo!!mitope mitupuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…