Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Sidhani kama bado tunapaswa kuuitazama UKIMWI kwa jicho hili.

La AIBU!!
DHIHAKA!!

hiki ndicho kinafanya MAAMBUKI YAONGEZEKE BAINA YA WENZA NA KWENDA KWA MAMA NA MTOTO!!

if at all tunatazama waathirika wa Ugonjwa huu kama WATU FULANI WALAANIKA ,KIASI KUJULIKANA NI AIBU.


HATA WAO JUHUDI ZA KULINDA WENGIND HAZITAKUWEPO!!
maaana kimfano,UNAMFUTA MWANAMKE.
ananijijua ameathirika,UNADHANI ATAKWAMBIA?
ili UMTANGAZE?

MAMA AMEAMBUKIZWA ANAJIFUNGUA,ASIYE NA UELEWA ATAJILAZIMISHA KUNYONYESHA MWANAE ILI MSIMNYOOSHEE VIDOLE.


ah sijui kwann HATUKUBALI KUWA KUNA MAGONJWA MENGINE HATARI KULIKO MAAMBUKI I YA VIRUSI VYA UKIMWI.
wise words from a wise woman.
[emoji122][emoji122]
 
Ndio mana nataka snowhite na Numbisa watupe desa mjengo wa Zama ni wa Zama kweli??? Ama ni pango?
Za kitaaa
Zina semaaaaa ULE MJENGO NA ILE HARUSI NI KWA HISANI YA WATU WA DAR ES SALAAAM.

Jaaaaaapo,ulionekana toka ujenzi!!
iiiiiiila baba Feza praimare sio mhusika wa tofali zile.
weeeeeeeh BADAMU BANGEMWAIKA MWAAAAAI MWAAAAI.
 
Kosa la Zamaradi ni yale magazeti yake " sherehe milion 20 oooh sijachangiwa, mgunia nimeutafuta mshono mwenyewe"

Mgazeti mmoja ( part 1) unakuja mgazeti mwingine hivo hivo kumbe full kujisifia tuu hamna la maana kujichoresha tu na kujisifia!
Hahaha yaani ndio nasoma hapa hayo majisifu yake ila wakiumwa mbio kuomba kuchangiwa.

Wasanii wa bongo ni mzigo walai.
 
Za kitaaa
Zina semaaaaa ULE MJENGO NA ILE HARUSI NI KWA HISANI YA WATU WA DAR ES SALAAAM.

Jaaaaaapo,ulionekana toka ujenzi!!
iiiiiiila baba Feza praimare sio mhusika wa tofali zile.
weeeeeeeh BADAMU BANGEMWAIKA MWAAAAAI MWAAAAI.
Aisee...
 
Rayna una akili mia mia...nimeshangaa watu humu mnampa misifa milioni!

Hivi mwanaume rijali iwe kweli nyumba yake utathubutuu kuingiza kidume mwingine mlee? Thubutuuu!

Sasa hili ndo jibu hiyo nyumba sio yake

( anapangisha)
Hapo kupanga nasadiki,hivi kabisaa waweza kuruhusu misheni akae kwakooo!miguu juu!kajiachia!sio akili hizoo!!mitope mitupuu!!!
 
Back
Top Bottom