Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Huko wanapost makalio tu

Niko zangu twitter hakuna umbeya
 
mhhhhh leoooo mambo mengi mpk nashindwa kupika
 
mhhhhh leoooo mambo mengi mpk nashindwa kupika
Ghosh! unashindwa kupika kisa Jf?....umbea wa humu yaan ni kama niko bar vile!

Huwezi amini umbea huu naupigia ofisini, barabarani, home, kuoga, kuchill yaan vyote hivyo navifanya na haviaffect ishu zangu za maana!.....haahaa marafiki zangu walionizoea wanasemaga natype kama Secretary wa magu!...yaaan ni vidole vinatambaa kama koboko mchangani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nanogesha tuu jukwaa mrembo naanzaje sasa kuacha kupika hapa watt wanalia njaa mara baba nae karudi anataka mososi hahahh
 
Heee kweli???? aiseee nimeshtuka kumbe witnessj ni mkaka mhhhhh. Napika my nishamaliza kwanza na kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…