Ukiangalia kwa Kina Zamarad ndo mgomvi amechukulia mhemko sanaa hili jambo!yaani hata ile michango kaona madogo ya nguo ndo kaona kubwa au sijui kwa kua michango kasema tzshaderoom ambae hana kick....!!Ila mwisho wa siku huu ugomvi kuwa mkubwa ni kwa sababu ya pressure za timu fulani na timu fulani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] muache shemeji yanguuuIla wee jamaa hunaga cha maana cha kukomenti zaidi ya hii sentensi? Kama roboti vile! Khaaa
Ndo maana sitakagi umaarufuu!acha niwe anynmous!!!!Unajua mambo kama haya yanafanya siku iwe fupi. Yani umbea una raha sana ila usiwe unasemwa au kunangwa maana unaweza kukonda kwa dkk
Nilitaka kushanga[emoji15] [emoji23] [emoji23]Nanogesha tuu jukwaa mrembo naanzaje sasa kuacha kupika hapa watt wanalia njaa mara baba nae karudi anataka mososi hahahh
Lione[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...we humuelewagi amu mtiririko wake ama nenee?Heee kweli???? aiseee nimeshtuka kumbe witnessj ni mkaka mhhhhh. Napika my nishamaliza kwanza na kula
Haahaa...Hivi Witty una nini Lakini????[emoji16][emoji16]
Kaolewa na nani?Kashaolewa na Mtanzania so automatic ni raia
Mmhh!!polee!!halafu ngoja nicheke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kule kumefungwa witnessj inauma sana pale unapotumia kila njia kumchafua mtu halafu zinafeli naangenila hata siku moja post ambayo angekuja nayo "NIMETOKA KUTOOMBA AMU GUEST MCHIKICHINI" kulika nalika si mwanamke mie,ila nina vigezo vyangu hujatimiza tuachane kistaarabu siyo kutumia kila njia kunichafua
Wee acha tuuu...lichura langu kuna siku domo kazimia pale leaders ....maana alizoea la mama ubaya la kichina!Bila shaka una chura kama ya sanch
Poa na karibu mkuu[emoji122] [emoji122]Hapana, nilikua napita tu nikaona niwasalimie.
Hakuna jipya chini ya jua!Kumbe Misa nae kacopy mishono ya Mwenzie huko
Hamisa atakua anacheza kwenye 25 she is young sema tu ndio mambo makubwa kayavaa mapema,Mzee wapi bwana sema humpendi hivi mtu aliyemiza form four 2011 mpk leo ana miaka mingapi!![emoji3][emoji3]yaani hata kama hamumpendi punguzeni jamani chuki loh!
Haaahaaa.....utimu utakuua my shost ake[emoji108] [emoji108] [emoji108]Kaah!wapi kasema yeye mtoto jamani!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]too much chuki!daah!hatari sana hii
Daah mimi kanitoka ila simchukii... zamani alikua my fav ila sasa looh nikikumbuka na Range uwiiii nachoka kabisaaa[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wema sina hamu nae looh!Mimi bado nampenda na ujinga wake huo huo
Lizeeee bana acha uteam shost...mijoka kipindi kile anaivaa si ulikuwa 2008?...watu tulikuwa form three huko...sema ukweli rayna?Mzee wapi bwana sema humpendi hivi mtu aliyemiza form four 2011 mpk leo ana miaka mingapi!![emoji3][emoji3]yaani hata kama hamumpendi punguzeni jamani chuki loh!
Unampendea nini?[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wema sina hamu nae looh!Mimi bado nampenda na ujinga wake huo huo
Kasukumwa na team Suguu....yaan aibuuKafanyaje?!!!
Nguva hahahamnhh mbona mshono wenyewe uko common ,hata yeye Hamisa amekopi,au wanajamii hamjawahi kuuona huu mshono?
Haaahaaaahaa....haki nyie mnachekesha hamisa ana 25?....Hamisa na Wema wana umri sawa!Hamisa atakua anacheza kwenye 25 she is young sema tu ndio mambo makubwa kayavaa mapema,
Naona hata watu wakimchukia ni kumuonea sana, umaarufu akiwa bado kinda matokeo yake ndio hayo.
Ref: Lulu.