Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Ila mwisho wa siku huu ugomvi kuwa mkubwa ni kwa sababu ya pressure za timu fulani na timu fulani
Ukiangalia kwa Kina Zamarad ndo mgomvi amechukulia mhemko sanaa hili jambo!yaani hata ile michango kaona madogo ya nguo ndo kaona kubwa au sijui kwa kua michango kasema tzshaderoom ambae hana kick....!!
 
Kule kumefungwa witnessj inauma sana pale unapotumia kila njia kumchafua mtu halafu zinafeli naangenila hata siku moja post ambayo angekuja nayo "NIMETOKA KUTOOMBA AMU GUEST MCHIKICHINI" kulika nalika si mwanamke mie,ila nina vigezo vyangu hujatimiza tuachane kistaarabu siyo kutumia kila njia kunichafua
Mmhh!!polee!!halafu ngoja nicheke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mzee wapi bwana sema humpendi hivi mtu aliyemiza form four 2011 mpk leo ana miaka mingapi!![emoji3][emoji3]yaani hata kama hamumpendi punguzeni jamani chuki loh!
Hamisa atakua anacheza kwenye 25 she is young sema tu ndio mambo makubwa kayavaa mapema,
Naona hata watu wakimchukia ni kumuonea sana, umaarufu akiwa bado kinda matokeo yake ndio hayo.

Ref: Lulu.
 
Mzee wapi bwana sema humpendi hivi mtu aliyemiza form four 2011 mpk leo ana miaka mingapi!![emoji3][emoji3]yaani hata kama hamumpendi punguzeni jamani chuki loh!
Lizeeee bana acha uteam shost...mijoka kipindi kile anaivaa si ulikuwa 2008?...watu tulikuwa form three huko...sema ukweli rayna?
 
Back
Top Bottom