Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Coho kuna uzi ulifunguliwa kuhusu Zama na hiyo wonder women sijui umefutwa?
 
Why don’t they just meet up and shoot the fair one? World star hip hop style..

That’s the way I like it and that’s the way we did it back in the day.

Social media beefing is for cowards.
Burr - Hamilton style.
 
Daaa!!! Hivi naskia muge mahaba yupo tanesco Naye,au story tu


Story wapi, yule mbona kitambo sana anasambaza waya za Tanesco kwa wateja wake wapya wanaotaka kutoka kimaisha….huyo Zama alikuwa ni wakala wake wa siri na alipoona vipi akahamua kusepa na yeye kwenda kuanzisha shirika lake la umeme.
 

hivi huyu Zama kabila gani si ana watoto wawili na Ruge?
ni lini tena wameajiriwa na Tanesco kusambaza umeme? au wa mafuta from BK?
Story wapi, yule mbona kitambo sana anasambaza waya za Tanesco kwa wateja wake wapya wanaotaka kutoka kimaisha….huyo Zama alikuwa ni wakala wake wa siri na alipoona vipi akahamua kusepa na yeye kwenda kuanzisha shirika lake la umeme.
kweli tumepitwa na wakati, kuna kipindi tulipewa Ratiba ya Harusi ya Ru.. na huyu Mama kuwa itafanyika BK (British Kingdom) jioni watatua kwa ndege watamalizia kempisky kumbe haikufanyika
 
Kazamarad vimakalio kama fungu LA bamia kanazingua tu
 
Mate ninayo dadaangu.
Afu nimekumiss.....nimemiss kuzishika zile £ zako jamani
Niko dogo langu. Ila hapo kwenye £ mmmmh 😎
Karibu sana kigamboni....hivi nina Lea kichanga. Na miye nasubiria nianze she grupu la kuomba mchango wa 40 japo nje mle pilau na nivae gauni toka kwa mobeto
 
Aiseee hivi ulimuelewa vzr mpwa uliye mquote?
Katumia sanaaa sana kuwasilisha hoja yake. Rudi kamsome upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…