Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Diva leo alitaka kumchamba Zama au?Coho kuna uzi ulifunguliwa kuhusu Zama na hiyo wonder women sijui umefutwa?
Burr - Hamilton style.Why don’t they just meet up and shoot the fair one? World star hip hop style..
That’s the way I like it and that’s the way we did it back in the day.
Social media beefing is for cowards.
Num hivi ile uzi wa kule jukwaa mchanganyiko kuhusu Zama.kutapeli umefutwa?
Tena??? Ila kuna memba alifungua uzi akilalamika juu ya utapeli wa Zama kwenye wonder womenHivi Diva leo alitaka kumchamba Zama au?
Daaa!!! Hivi naskia muge mahaba yupo tanesco Naye,au story tu
U-turn Tecno zilikuwa bado, group WhatsApp, insta.Uturn shogaa
Aisee hapa mjini tuwe makini mashirika ya umeme mengi kweliStory wapi, yule mbona kitambo sana anasambaza waya za Tanesco kwa wateja wake wapya wanaotaka kutoka kimaisha….huyo Zama alikuwa ni wakala wake wa siri na alipoona vipi akahamua kusepa na yeye kwenda kuanzisha shirika lake la umeme.
kweli tumepitwa na wakati, kuna kipindi tulipewa Ratiba ya Harusi ya Ru.. na huyu Mama kuwa itafanyika BK (British Kingdom) jioni watatua kwa ndege watamalizia kempisky kumbe haikufanyikaStory wapi, yule mbona kitambo sana anasambaza waya za Tanesco kwa wateja wake wapya wanaotaka kutoka kimaisha….huyo Zama alikuwa ni wakala wake wa siri na alipoona vipi akahamua kusepa na yeye kwenda kuanzisha shirika lake la umeme.
HV watz mnafurahi habari za watuHivi Diva leo alitaka kumchamba Zama au?
Ngoja nijichukulie number za madem naanza na Salma hapoWonder namba moja mpaka 6 yameshafutwa,wonder namba saba wameshapigwa biti kuongelea tuhuma za boss zamaView attachment 837936
Hahaaahhaha
Haswaaaa dogo lake. Lkn mate unayo?Hahaaahhaha
Mambo ya kumung'unya ubuyu....kuchubuka ulimi.
Mate ninayo dadaangu.Haswaaaa dogo lake. Lkn mate unayo?
Manake rah ya ubuyu uwe na mate
Niko dogo langu. Ila hapo kwenye £ mmmmh 😎Mate ninayo dadaangu.
Afu nimekumiss.....nimemiss kuzishika zile £ zako jamani
Aiseee hivi ulimuelewa vzr mpwa uliye mquote?![]()
hivi huyu Zama kabila gani si ana watoto wawili na Ruge?
ni lini tena wameajiriwa na Tanesco kusambaza umeme? au wa mafuta from BK?
kweli tumepitwa na wakati, kuna kipindi tulipewa Ratiba ya Harusi ya Ru.. na huyu Mama kuwa itafanyika BK (British Kingdom) jioni watatua kwa ndege watamalizia kempisky kumbe haikufanyika