Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

NIMEMUELEWA SANA
acha wasambaze, mm JF naiogopa ukiLIKE jina linajitokeza
acha picha la kihindi liendelee mm na Pop corn hapa Dada yangu
Hongera kwa kulea kichanga
Hivi Dai si yupo? Milly hawezi lala sakafuni na mtoto wa mwanamuziki
Thanks brodah!!
Milly naskia yuko sero, Sasa sijui dai ataamuaje
 
Duh milly kazaa na dai lini?
NIMEMUELEWA SANA
acha wasambaze, mm JF naiogopa ukiLIKE jina linajitokeza
acha picha la kihindi liendelee mm na Pop corn hapa Dada yangu
Hongera kwa kulea kichanga
Hivi Dai si yupo? Milly hawezi lala sakafuni na mtoto wa mwanamuziki
 
Nimejifunza kitu.
 
Naskia Milly kawekwa rumande na zama. [emoji5][emoji5]
Hapana hajawekwa na Zama
Kuna jamaa anajiita pck
Milly alipewa habari kuwa jamaa tapeli anatapeli watu,mara tuhuma kibao
Jamaa akabisha lkn Milly akazidi kumkomalia
Kumbe jamaa akachukua rb kimya kimya lkn ikawa ngumu kumshika
Akaamua kumtumia jamaa anaishi mwananyamala komakoma ili amuingie kwa gia ya kutongoza
Milly akawa mgumu lkn hakuna mkate mgumu kwenye chai
Maana Milly alifikia hatua anataka hela hlf jamaa anamtumia
Mwishowe wakapatana wakutane lamada hotel na ndio hapo alikamatwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh....huyu pck siyo mtt wa kigogo mmoja wa polis ambaye ni tapeli la kushindikana?
 
Uwiiii,pole Yake. Hapo zama kapumua na itakua kafurahi
 
Ahsante[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimekupenda bureeee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vera ginger nimekupenda bure!!..kisss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Hamisa kwa kuwa ambasado wa Prima naona mnaenda sambasamba na Zama wa Mketema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…