Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Chanzo nguo ya Zamaradi aliovaa kwenye arobaini ya mwanae Salah. Eti inasemakana aliiba idea kwa Hamisa na akashona kwingine.

Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama hanyonyeshagi wanae akijifungua waja wanauliza kulikoni?.

Ila jamani maisha ya instagram sio maisha kila kitu unapost unataka umfaidishe nani kwa mfano. Basi imekua ni kushindana daily. Wakaka ambao hamjaoa kwa kweli angalieni wachumba zenu kama wana instagram fever hao sio wa kuoa (yani kupost kila kitu) mwisho wa siku ni kuumbuana
Afadhali ni mdada amepost hii kitu ingekuwa toto la kiume kwakwel ningelishangaa sana
 
Wanaume wengine ni wajinga sana pumbavu zao.

Mkeo anashikaje simu na kuandika ujinga kama huo na wewe upo?

Na usiku mnalala?

Watu tukistaarabika tukikwazwa tunatafuta njia ya kistaarabu zaidi na kuitumia, siyo kuandika usenge all over.

Binafsi mtu wangu akiweka status whatsapp isiyoeleweka namwambia atoe na hilo siyo la kujadiliwa, ni itolewe. FB siwezi kumcontrol kwakua sipo FB.

Mmoja alipoteza simu nikajichanga nikamnunulia simu, dakika kadhaa naona status 'Am baaaaaaack' nikamwambia toa hiyo status.

Akatoa vizuri tu.

Sasa hawa wengine vipi? Au wanalelewa?
 
wewe ni mwanaume
 
Why don’t they just meet up and shoot the fair one? World star hip hop style..

That’s the way I like it and that’s the way we did it back in the day.

Social media beefing is for cowards.

Hamisa alimtumia Mange kurusha hayo instagtam. Mange ana akaunti anazoendeleza yale yake ya kawaida ya kuchamba watu.

Kwa ya kawaida anajifanya bizi sijui nini.. yupo kama kawa

So ndipo walipoanzia.. unajua mange akihusika huwa hakuna hayo

Ila wakabadili kwamba design ya hamisa kumbe waongo

Mengine watajiju

Ila mleta udaku huu uwe unaleta na screeshot za hayo au unayakopi.. sio kuandika yako na kusepa.. hata picha!!!
 
Huwezi mlazimisha mteja.
Ila pia wizi wa idea ya mtu ni kosa kwenye mambo ya copyright law na mtu akiwa na ushahidi anakupeleka kabisa mahakaman anashinda na unamlipa fidia kubwa tu kwa wizi ulioufanya
 
Hamisa alimtumia Mange kurusha hayo instagtam. Mange ana akaunti anazoendeleza yale yake ya kawaida ya kuchamba watu.

Kwa ya kawaida anajifanya bizi sijui nini.. yupo kama kawa

So ndipo walipoanzia.. unajua mange akihusika huwa hakuna hayo

Ila wakabadili kwamba design ya hamisa kumbe waongo

Mengine watajiju

Ila mleta udaku huu uwe unaleta na screeshot za hayo au unayakopi.. sio kuandika yako na kusepa.. hata picha!!!

Kwa hiyo, kwa kifupi, hao wadada wanagombania nguo?
 
Dina nae kakumbukia aliyotendwa na Zamaradi leo.. akarusha dongo lake

Screenshot_20180814-190014.jpg
 
Hamisa alimtumia Mange kurusha hayo instagtam. Mange ana akaunti anazoendeleza yale yake ya kawaida ya kuchamba watu.

Kwa ya kawaida anajifanya bizi sijui nini.. yupo kama kawa

So ndipo walipoanzia.. unajua mange akihusika huwa hakuna hayo

Ila wakabadili kwamba design ya hamisa kumbe waongo

Mengine watajiju

Ila mleta udaku huu uwe unaleta na screeshot za hayo au unayakopi.. sio kuandika yako na kusepa.. hata picha!!!
Kiswahili chako huwa kinanichekesha sana.
 
Back
Top Bottom