Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Huyu Dada kwa magazeti halafu kujifanya yeye ni Big brand hahaaaassssIla zama kachambwa vibaya....kiufupi siri zake zote mwaa
Ni migazeti yake ya mwananchi[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Dada kwa magazeti halafu kujifanya yeye ni Big brand hahaaaassssIla zama kachambwa vibaya....kiufupi siri zake zote mwaa
Ni migazeti yake ya mwananchi[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Aisee..Hata Huyo hamisa ameiba idea sehemu nyingine,. Acha waumbuane wengine watupe faida
Hahaaaaaahaaaa watakomaZama anapenda kuabudiwa sana ila sasa kasahau enzi hizo zimepita tangu ajiondoe kwa ruge. Naona wanakamati saiv wanajutaaaa kumfahamu
Yaaan anajionaga so special yaan!Huyu Dada kwa magazeti halafu kujifanya yeye ni Big brand hahaaaassss
Leo Dina atalala usingizi mzuriYaaan anajionaga so special yaan!
Siku anaturingishia mjengo wake insta ndo nikamuonaga ohooo!
Duh!!!pesa nyingi hizo anajiweza hongera zaka.Kiini cha ugomvi ni Zama kuufahamisha ulimwengu kuwa sherehe ya 40 ya mwanae iligharimu milioni 20.
Malalamiko ya nguo ni madogo kuliko majisifu ya gharama za sherehe na life style yake ya sasa hivi.
Yani,,huwa ananifanya nione aibu Mimi,,,yani ni kitu ambacho hakutarajia nahisi,, anaonaga ye ndo kazaa na watu dunia nzima😂😂😂😂😂Hamisa bana yani diamond na majizo anaona kama kazaa na malaika teh
Na ameridhika uwe mlevi wa JF? Mi niliambiwa nikikutwa jf penzi linakufa, likafa.Mchumba wangu haijui hata Insta inafananaje kwangu whatsapp yenyewe hadi nimwambie nimekutumia pcha washa data uione, mimi ananijua ni mlevi wa JF
Afadhali ni mdada amepost hii kitu ingekuwa toto la kiume kwakwel ningelishangaa sanaChanzo nguo ya Zamaradi aliovaa kwenye arobaini ya mwanae Salah. Eti inasemakana aliiba idea kwa Hamisa na akashona kwingine.
Sasa na siri zingine zinafichuka wengine tulikua hatujui kwamba Zama hanyonyeshagi wanae akijifungua waja wanauliza kulikoni?.
Ila jamani maisha ya instagram sio maisha kila kitu unapost unataka umfaidishe nani kwa mfano. Basi imekua ni kushindana daily. Wakaka ambao hamjaoa kwa kweli angalieni wachumba zenu kama wana instagram fever hao sio wa kuoa (yani kupost kila kitu) mwisho wa siku ni kuumbuana
Kumbe Zama aliwagombanisha Ruge na Joe! Sasa wamepatana na wameshamjua mchawi wao 😀
wewe ni mwanaumeWanaume wengine ni wajinga sana pumbavu zao.
Mkeo anashikaje simu na kuandika ujinga kama huo na wewe upo?
Na usiku mnalala?
Watu tukistaarabika tukikwazwa tunatafuta njia ya kistaarabu zaidi na kuitumia, siyo kuandika usenge all over.
Binafsi mtu wangu akiweka status whatsapp isiyoeleweka namwambia atoe na hilo siyo la kujadiliwa, ni itolewe. FB siwezi kumcontrol kwakua sipo FB.
Mmoja alipoteza simu nikajichanga nikamnunulia simu, dakika kadhaa naona status 'Am baaaaaaack' nikamwambia toa hiyo status.
Akatoa vizuri tu.
Sasa hawa wengine vipi? Au wanalelewa?
Inaonekana ilikua ni ndoto yake kubwa sana kuzaa na hao wanaume hivo anahisi kila mtu ana ndoto hiyo masikiniYani,,huwa ananifanya nione aibu Mimi,,,yani ni kitu ambacho hakutarajia nahisi,, anaonaga ye ndo kazaa na watu dunia nzima😂😂😂😂😂
Why don’t they just meet up and shoot the fair one? World star hip hop style..
That’s the way I like it and that’s the way we did it back in the day.
Social media beefing is for cowards.
Ila pia wizi wa idea ya mtu ni kosa kwenye mambo ya copyright law na mtu akiwa na ushahidi anakupeleka kabisa mahakaman anashinda na unamlipa fidia kubwa tu kwa wizi ulioufanyaHuwezi mlazimisha mteja.
Hamisa alimtumia Mange kurusha hayo instagtam. Mange ana akaunti anazoendeleza yale yake ya kawaida ya kuchamba watu.
Kwa ya kawaida anajifanya bizi sijui nini.. yupo kama kawa
So ndipo walipoanzia.. unajua mange akihusika huwa hakuna hayo
Ila wakabadili kwamba design ya hamisa kumbe waongo
Mengine watajiju
Ila mleta udaku huu uwe unaleta na screeshot za hayo au unayakopi.. sio kuandika yako na kusepa.. hata picha!!!
Kiswahili chako huwa kinanichekesha sana.Hamisa alimtumia Mange kurusha hayo instagtam. Mange ana akaunti anazoendeleza yale yake ya kawaida ya kuchamba watu.
Kwa ya kawaida anajifanya bizi sijui nini.. yupo kama kawa
So ndipo walipoanzia.. unajua mange akihusika huwa hakuna hayo
Ila wakabadili kwamba design ya hamisa kumbe waongo
Mengine watajiju
Ila mleta udaku huu uwe unaleta na screeshot za hayo au unayakopi.. sio kuandika yako na kusepa.. hata picha!!!