Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Kimenuka Insta Hamisa mobeto Vs Zamaradi Mketema

Wote mazuzu, hakuna wa maana, they are all living their lives as "Incubators"...
 
Hamisa atakua anacheza kwenye 25 she is young sema tu ndio mambo makubwa kayavaa mapema,
Naona hata watu wakimchukia ni kumuonea sana, umaarufu akiwa bado kinda matokeo yake ndio hayo.

Ref: Lulu.
Kabisaa yaani usemayo hamisa na lulu ni wale wale japo lulu alianza umaarufu bado nursery!

Unaarufu kibongo bongo ni mzigo mnoo haswaa ukiwa msichana unawika na vile amezaa mapenza sana!ila amekitembezaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Miss xxl!kiba b12 hao clouds wamekilamba kama woteee
 
My God!! Hamisa anashiriki Miss Xxl ilikua 2010 wakati huo ana miaka 16 na Miss Tanzania akashiriki 2011.

Wema Miss Tanzania kashiriki 2006,
Hata Wema alishasema kua Hamisa ni mdogo wake hawawezo kua sawa kiumri. Wema wa 88 na Hamisa wa 94.
Ahsante kuweka kumbukumbu sawa kabisaa!!
 
Haaahaaa rayna banaa....who makes cash now zaidi ya ufa fa faa? Ukimpenda mtu uweke akiba!

Kile kidemu kisipojirekebisha kupenda mambo makubwa na uwezo hakina kitaishia pabaya! Bora hata Wema ana experience na huo usupastaa uchwara kaamua ajiuzie mavitu vitu flani ili asurvive mjini!

Ile kile kimama majoka sijui, yangu macho[emoji15] [emoji15]

.

Nimekupenda hapa tu....ukimpenda mtu basi usijivike upofu wa kutoona mapungufu yake.......tatizo watu wamekaliwa na mahaba yasio na kichwa hawaoni hawasikii....baya kwao zuri hawajui kukosoa kwenye baya zaidi ya kusifia....... 😳 😀 😀 😀 😀
 
Kabisa my zesh..na hii humjengi ni unazidi kumuharibu tuu
 
Back
Top Bottom