Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa yaani usemayo hamisa na lulu ni wale wale japo lulu alianza umaarufu bado nursery!Hamisa atakua anacheza kwenye 25 she is young sema tu ndio mambo makubwa kayavaa mapema,
Naona hata watu wakimchukia ni kumuonea sana, umaarufu akiwa bado kinda matokeo yake ndio hayo.
Ref: Lulu.
Ahsante kuweka kumbukumbu sawa kabisaa!!My God!! Hamisa anashiriki Miss Xxl ilikua 2010 wakati huo ana miaka 16 na Miss Tanzania akashiriki 2011.
Wema Miss Tanzania kashiriki 2006,
Hata Wema alishasema kua Hamisa ni mdogo wake hawawezo kua sawa kiumri. Wema wa 88 na Hamisa wa 94.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] za asubuhi wit wangu!hamna sio mapenzi ukweli usemwe!!Haaahaaaa...watu mna mapenzi hasa
Haaahaaa rayna banaa....who makes cash now zaidi ya ufa fa faa? Ukimpenda mtu uweke akiba!
Kile kidemu kisipojirekebisha kupenda mambo makubwa na uwezo hakina kitaishia pabaya! Bora hata Wema ana experience na huo usupastaa uchwara kaamua ajiuzie mavitu vitu flani ili asurvive mjini!
Ile kile kimama majoka sijui, yangu macho[emoji15] [emoji15]
.
Sasa 25 ni young?Hamisa atakua anacheza kwenye 25 she is young sema tu ndio mambo makubwa kayavaa mapema,
Naona hata watu wakimchukia ni kumuonea sana, umaarufu akiwa bado kinda matokeo yake ndio hayo.
Ref: Lulu.
Mwenzangu hahahahhaa wacha nicheke mieHii hii Pemba au?
Enheee..Walaaa hata siyo ya Ruge wala zama
25 ni mzee???Sasa 25 ni young?
Morning dear...[emoji23] [emoji23] [emoji23] za asubuhi wit wangu!hamna sio mapenzi ukweli usemwe!!
Kabisa my zesh..na hii humjengi ni unazidi kumuharibu tuuNimekupenda hapa tu....ukimpenda mtu basi usijivike upofu wa kutoona mapungufu yake.......tatizo watu wamekaliwa na mahaba yasio na kichwa hawaoni hawasikii....baya kwao zuri hawajui kukosoa kwenye baya zaidi ya kusifia....... 😳 😀 😀 😀 😀
Third part mkuuEnheee..
Myumba ya nani sasa?
Hamisa wa 91 kama sio 92.My God!! Hamisa anashiriki Miss Xxl ilikua 2010 wakati huo ana miaka 16 na Miss Tanzania akashiriki 2011.
Wema Miss Tanzania kashiriki 2006,
Hata Wema alishasema kua Hamisa ni mdogo wake hawawezo kua sawa kiumri. Wema wa 88 na Hamisa wa 94.
Yes ndio maana nikasema anacheza kwenye 20s ila 30 ni kumuonea.Hamisa wa 91 kama sio 92.
Cheee ndo maana watu wanafika 35 ndo anaanza kuwa na stress haelewi ashike wapi25 ni mzee???
Please.